[0:00]Yes, mambo wanandugu wapendwa, habari yenu, habari ya siku ya leo. Mimi ni wenu Kolomboka, mwenyekiti mwenyewe, mfalme wa habari, ambaye kabisa nimewaletea habari ya usiku wa leo.
[0:12]Ambao kabisa tumekuja hivi kwamba tupate kuwaambia mambo jinsi ilivyo. Tunaanzia huku Msheferi ya Mugroup Maya Ninja, huku mtaani Kabare huku.
[0:26]Ambapo chef de localité balimpiga masasi. Imesemakana kwamba huyu chef de localité alikuwa na problem na mzalendo huko territory ya Ninja.
[0:40]Mugroup Maya Ninja alikuwa na problem na mzalendo alafu ikawezekana kama huyu mzalendo akampiga masasi mchana kati.
[0:52]Watu wa Ninja wanasikia uoga sana na kujiuliza hivi ni vitu gani sasa ambavyo vimekuwa katika wazalendo.
[1:02]Wandugu wapendwa kama tumekuwa wazalendo ni kwa sababu ya kuchunga bitu na mali yetu raia na mali yake.
[1:13]Haiko kuchunga mang'ombe hapana. Ni lazima kama ulikuwa na conflict eh kazi ya military ama askari, ni lazima kabisa kutosha kwanza hasira sababu hauko pale juu ya kulipisha kisasi.
[1:31]Na kitu kingine chenye mtajua, mtajua kama après la guerre c'est la justice, eh.
[1:40]Il faut munajua kama justice itakuwa.
[1:45]Itakuwa kabisa après guerre ni justice kabisa, itakuwa kabisa. Ndiyo kwa maana tunawaambia kama kila mtu ni lazima aangalie mbele.
[1:57]Na ajue kama kile chote alichokifanya kitamhukumu kule mbele. Don't kila kile unachokifanya leo itakuwa ndiyo hukumu yako kule mbele. Don't inafaa kabisa kujua ile kitu yoyote.
[2:14]Joseph Kabila a pensé jouer avec les faits aujourd'hui. Il il natule celle les conséquence. Refuse la paix ou peuple au peuple Congolais.
[2:30]C'est fini isolé rapatrier par ses propres sanctions. La roue la route tourne toujours ni kabisa.
[2:45]Don't Joseph Kabila alikuwa anajua kama ni bitu amzaa ndio venye iko ndani, kumbe bitu binageuka. Kale inageuka kabumbu ndio tuko tunasema hapa saa hii.
[2:57]Don't kila mtu ajue kama vile venye muko mnafanya, kesho kesho yake vitageuka tu kuwa kabisa problem, moya nguvu sana.
[3:07]Ba depute bamesha kusahau kusema ya kwamba ni lazima Constitution ibadilishwe lakini kuna wengine wa opposant politique ambao kabisa wanaendelea kukataa kwamba il faut aseme il faut aangalie muzuri constitution isichangé.
[3:32]Mais pour nous tunataka ikuwe changée sababu tunajua consequences, tunajua consequences genye iko inishi ndio tuko tunaipata shee watoto ya East. Si ndio tuko tunapata consequences ya mambo yote jinsi ilivyo kabisa.
[3:48]Na hapa kabisa tunaendelea kabisa tuwaambie kama bitu binaendelea kuwa matata kabisa katika maeneo mbalimbali kabisa.
[3:58]Sodda wa M23 mwenye anakamatwa na mateka FARDC mahali wapambano pale Lumbishi Katale baada ya leo after midday leo tano. Kulingana na maelezo anasema ni askari wa zamani wa FARDC.
[4:22]Nikusema wazalendo pamoja na FARDC walikuwa wanapigana hapa. Anafasi wanaita Lumbishi. Lumbishi ni territory ya Katale ambapo kabisa walipigana kabisa kwa siku ya leo na kukamata mateka nyingi sana. Karibu 45 persons ambao walikuwa wa gako wote wamekamatwa kabisa.
[4:46]Lakini katika hawa watu ambao wamekamatwa ng'ambo za Lumbishi, Katale, eeh wane wamekutika kama ni wamoja ndani ya FARDC ambao walikamatiwa mahali mbalimbali. Kuna wale ambao waliingia wenyewe na kuna wale ambao walikamatiwa mateka hapa mjini Goma na wengine mjini Bukavu.
[5:11]Alor ndio wakachiliwa ndani ya jeshi. Sasa wanaanza kusema mambo jinsi ilivyo. Wanasema kabisa huku ku M23 kulikuwa matata kabisa.
[5:25]Ni kupigwa kila siku na kuibiwa telephone. Don't message yenye huyu baba anasema anaambia wenzake venye viko kule M23 watie bunduki zao chini ama watoroke.
[5:38]Watoroke ili kwamba wakue watapokelewa mzuri sababu naye amepokelewa kabisa naona wamempatia hata na chakula amepokelewa vizuri sana ku FARDC. Na hapa kabisa anasema mwenye iko na na jinsi ya kutoka atoke kabisa na itakuwa mzuri sana kabisa.
[6:03]Don't nikusema walikamatiwa wengi sana kule ng'ambo za Lumbishi huku mtaani Katale kabisa ilikuwa ni ambush moya ya ajabu ambayo wazazuri watoto wa mama, wazandungu, watoto wa mama walifanya kabisa mambo makali kabisa tena makubwa ambayo inaonekana na macho ya binadamu kabisa.
[6:29]Utaponda subscribe yako kwenye Holly Kivu TV. Utaponda subscribe yako kabisa uangalie video yetu uimalize. Itakuwa mzuri sana kabisa. Na hapa tutakuwa tuko pamoja nawe katika mambo yote.
[6:46]Journée ya leo ilipita mzuri sana hapa mjini kwetu Goma yaani ilikuwa ni kawaida. Kamvula kalinyesha katika masaa za magharibi na hapa ni hatari.
[6:58]Mata bameendelea kulia kukamatwa na watu ambao wanavala majilet pale Bukavu zaidi sana hapa ku Plus de 24. Wanaendelea kulia kabisa kusema ya kwamba viko wanabebewa pasipo kujua watu venye viko wanabebewa wapi kwenye wanatoka. Ndio wanalomba wale viongozi wao wa Kagoku.
[7:20]Wawaambie kabisa wawaachilie na upepo ili kwamba wapate kupumua kidogo maana wanatere sentile sana.
[7:29]Hapa mjini Goma wanasema kila kanisa inafanya ya register. Wanatoa 500 dollars ya register ya commencement de l'église, wanalitia 5,000 dollars. Don't ufungulie kanisa Goma inafaa unakuwa na 5,000 dollars ndio wanakuachilia ufungue kanisa.
[7:50]Hapa wanatafuta franga kwa kinguvu papa. Don't nikusema wewe na makaratasi yako ya 500 dollars hawataki. Il faut unakaka na makaratasi yako ya 5,000 dollars na advance ni 2,000 dollars.
[8:07]Ndio vile walisema. Don't nikusema wapasteur wanasikia jinsi mambo inaanza yoyo. Kesho watawaambia mfunge makanisa yenu hatuwataki na makanisa yenu hapa.
[8:20]Ndio mtapata cha mtema kule. Mwisho mambo vitawakuwia nguvu. Don't unaona kama deja il faut munasimama kwa hii kitu kabisa. Wakristo inafaa munasimama. Wa Padre inafaa munasimama kwa hii kitu kabisa sababu sijawahi kuona wapi ambapo wanafunga kanisa isipokuwa Rwanda ndio wanafunga kanisa. Lakini Congo ile hatukuiua. Hatuyaionaga hata siku moya. Kitu ninaanza ona huku kwetu nako bi anaanza kukua huko kabisa.
[8:52]Bukavu leo ilikuwa four. Mwaka moja juu ya maacident zenye zimetufanyikia. Accident ilifanyikia kule Kamini ya Kadut na avenue Mitchonbele. Bahati mbaya mama mwenye alikuwa na uzisha maragi pembeni pale anaenda kabisa na kufa. Amekufa kabisa. Hii ndiyo kabisa. Solosurses zetu za karibu zinasema yule mama alikuwa na mimba.
[9:35]Alikuwa na mimba. M23 walikuja walikuja pale wanaangalia wale M23 walifika pale wanaangalia. Wanatoa mwili ya yule mama directly kumorwe. Tunasema pole kwa jamaa kwa kupoteza mama pamoja na mimba kabisa.
[9:57]Nyumba ziliwaka moto baada ya mchana ya leo. Avinye Kajango ni katika eneo la Likimba. Aveny Loziba. Ndio asubuhi ya leo kabisa hali haikuwa mzuri. Watu walijitokeza na hasira baada ya kuibiwa na mwanaume mmoja usiku wa jana, kuja hapa leo kulingana na habari iliyoenea na kusikika ni kwamba Kagungu Kadi, mmoja wa M23 ndiyo alimbeba kwa nguvu.
[10:50]Kulingana na ushuhuda wa watu wengi inasemekana kama yule kijana alimpatia kofi kabisa alimpiga zai. Ndio Ngashungi yule naye anaenda kamata bunduki anaua yule kijana. Unaona kama hivi ni vitu viwili vibaya sana. Don't huku ku Wane inakuwa kama vile ni kucheza mchezo wa kifo tu.
[11:16]Uvira. Masasi yenye yalitokota huko jana magharibi Uvira pale kijana mmoja jina lake Dieu Donné Nandi, kodi ni Katota. Grupama ya Kitundu ndio mwenye alikufa kabisa. Alikuwa anauzisha makala kwa barabara, ndio akapata alipoteza directly akakufa.
[12:10]Don't nikusema ilikuwa ni masasi ya General kujitangaza. Kadi ya maadui pamoja na mwenzake kabisa ilikuwa ni matata kabisa. Vuta nikuvute na hapa kabisa tunaona kama hii haiko kitu cha mzuri sana wazalendo wao wenyewe kupigana.
[12:34]Katale. Mapambano ilianza leo after four, Lumbishi, Katale. Kati ya wazalendo na M23 Lumbishi ilikuwa fasi yenye iko controlled na M23. Wazalendo walikamata ile fasi. Ikumbushe kama Lumbishi na Tushuguti ni 17km.
[13:04]17km. Unawaza ponda subscribe unafanya share kabisa na kushare. Show yetu zaidi sana usikilize show yetu na uimalize. Hapana kuiacha katikati.
[13:20]Huku Kabare Ninja wanabeba chef des sous village ya Mudaka kwa nguvu kabisa. Wanamuua shulushulu. Jina lake ni Gilbert, ni mloka yake na mwami wa Ninja.
[13:42]Huku mtaani Ninja nako tulishasema vile kama wamemuuwa kabisa na hii imeleta huzuni sana. Baada ya kufanya mkutano leo ya watu ya Rikiba na pamoja na maamuzi ni kila kikundi cha Likilimba na wale majikazi zitoe franga kidogo ya kutia mkese ya hawa waimbaji.
[14:17]Don't nikusema wanaanza kulipisha hata habali, watu wanafanya na wale walio ng'ambo zao wanapigana. Don't tunaomba yule ambaye alipigana na soko na nini ile ni kutafuta franga kabisa. Wandugu wapendwa tunaenda kuambia ya kwamba kila kitu kote kiko na mwanzo na kiko na mwisho.
[14:34]Msiogope watoto wetu wanaendelea kabisa kufanya mapambano mazito sana na ku-récupérer maeneo mbalimbali kabisa huku ng'ambo za Katale ng'ambo za North Kivu huku kabisa vitu vinaendelea kuwa mzuri sana. Don't nikusema maibu pamoja na FARDC wanaendelea kabisa kupiga adui mzuri sana.
[15:01]Hata huku ng'ambo za Mwenga Shabunda kabisa security iko bien kabisa watoto wa mama wanaendelea kufanya security hapo mzuri.
[15:13]General mzalendo Nguvu Nzito anaendelea kupongeza sana wazalendo na kuwaambia waendelee kupigana huko Kamanyola. Na yuko pamoja nao kabisa na ataendelea kuwasupport na ataendelea kupigana kabisa kiasi kikubwa, sorry, kiasi kikubwa. Ndio kwa maana tunawaambia kabisa kila mtu awe chonjo mahali ambapo anapokuwa sababu saa ni saa vitu vinaweza kuharibika Bukavu.
[15:43]Don't Bukavu huko 25% ya kuwa au kulipizwa kisasi ndio tunaweza sema pale wazalendo. Sababu Bukavu inaonekana kabisa wazalendo wamezunguka Bukavu kabisa kiasi kikubwa.
[16:03]Explosive ya bomu ya drone huku ng'ambo za Kabare zinaendelea kusikika sana na mambo inaendelea kuwa mazito sana. Asante sana Mungu aendelee kuwabariki usiku wa leo mlale vizuri sana.
[16:21]Tukutanane ku Holy Official. Asante sana.



