[0:00]En direct du lac Kivu au nord d'Idjwi, un bateau des RDF rwandaises a été bombardé. Plusieurs militaires rwandais ont été blessés alors qu'ils venaient du Rwanda en direction d'Idjwi. Suivez les détails. Yaani huko pale pamoja nami na mimi niko hapa pamoja na wewe katika muda huu kwa saa hii. Nataka kukupatia bisodo ndani ya la kikuu ilipitikana kitu gani? Ni kitu gani ambapo kilipitikana huko kwenye. Iji Iji kule ambapo kabisa. Ehe bateau ya RPF ya Rwanda ilipigwa ilipigwa kabisa huku Mlaki Kivu. Nani mwenye alijengua eh tutakuambia kule kwenye habari zetu awe tu uko pamoja nami 5 juu ya 5 hapa. Na mimi nitakuwa na wewe tano juu ya tano kabisa. Leo ni tarehe nne mwezi wa tano mwaka 2000 na 2006 kabisa. Ambayo nimekuwa hapa mbele ya microphone yetu ya Holy Kivu TV. Kitu gani unachohitaji? Tunachokuhitaji yako ni kitu kimoja ponda subscribe. Angalia video yetu uimalize. Na hapa utakuwa umepata mambo kabisa ndani na itakuwa ni kitu ya maana sana tena sana kabisa. Ni mimi wa Kolombokaka mwenyekiti mwenyewe kabisa nimekuletea. Kolombokaka mwana nabio na ye kuisabino ba information ya kitoko ya leyo. Ozo kuloba tokome Koloba kilele na kati ya Kivu ba ndeko na biso ba. Ba bombardeto ya RDF na kibu.
[1:57]Ile na na North Kivu na na. Montagne na kati ya na ile North Kivu nde kuenda pombe na. Missions na mv2. Uona jinsi ilivyokuwa wameibomoa.
[2:46]Milele ni vile tunataka. acha nikuletee mambo ya asubuhi ya leo bwana anawapiga. Acha nikuambie, batoni ilivuka, inatoka Rwanda, ikienda kule Ng'ambo ya Ng'ombo. Ile Iju North kule. Ndio ilikuwa inaenda kule. E bwana. Na unangojea? Baji baji. Fanya tu haraka. Sasa tumejiuliza hivi. Mnaona yenye inapega hii bato ni wapi? Ilitoka wapi? Batuni ilikuwa inatoka ng'ambo ya Gisenyi. Ng'ambo za kule Ng'ambo ya Rwanda kule kabisa. Ng'ambo ya Rutiro. Ah, ng'ambo za Rutiro Rwanda. Ndio hapo ilikuwa inatoka. Inaleta munitions na chakula. Ndio imefikisha hapa North. Ndio hiyo ilikuwa. Ilikwisha vuka Ng'ombo. Ilishavuka kule Ng'ombo. Na iko inaelekea Ng'ambo za Congo. Papa akiondoka, anapega. Hapa niko nakuambia kama batuni hii imejembuliwa kabisa vizuri sana. Hapa Kivu. Hivi ndivyo tunapenda. Sasa na isibaki hapa. Na zile batuni zinataka mara moja tu. Zote zimebomolewa. Ile mara za kutoka goma zinaka na militar zote zimebomolewa chini kabisa. Ndio maana huku hakuna tena huruma. Hapa vitu vinakuwa matata nakuambia. Leo asubuhi saa 5:45. Wakaibomoa hapa Kivu. Ilikuwa inatoka Rwanda na kuelekea North kule. Ndio ilikuwa inabeba munitions hapa North. Hapa imebomolewa kabisa. Ilikuwa hewa na maji. Ilikuwa batuni ya maji.
[5:13]Yaani ilikuwa batuni ya wale wanajeshi wanaopigana majini. Nayo kabisa imejeguliwa. Ni kusema ya kwamba hakuna kuvuka mstari wa pili kabisa. Haiwezekani. Na hapa kabisa tunashukuru droni yetu. Ndio hiyo iliona saa 5:30. Ndio batuni ilibomolewa majini. Mpaka hivi ng'ambo zote mbili hawajasema kitu. Mpaka hivi Rwanda inanyamaza na Congo inanyamaza. Lakini mambo yote ilionekana kwa macho ya binadamu. Yaani ni kusema ya kwamba sisi hatuna cha kusema isipokuwa kuwapasha habari ya mambo yaliyopitika. Yaani kusema hii batuni ilipigwa majini. Ilipigwa na droni inatoka wapi? Tunajua kwamba Bukavu, Goma, North, South, hapo kuna. Sasa hii batuni inapegwa na nani? Mnaona mimi. Kama inapegwa kutoka Minova. Inapegwa kutoka Bukavu. Inapegwa kutoka wapi? Kama hii batuni imepigwa na nani? Pete, labda tunaweza kusema kwamba Pete, labda tunaweza kusema kwamba Pete. Inapigwa na Far de C. Na hiyo inawezekana. Kwa hiyo nikisema hii batuni. Ukiona vizuri, ilikuwa inabeba vitu. Ndio hiyo ilionekana kwa mara ya pili. Imepigwa. Kwa hiyo ni kusema vitu viko matata sana. Na hapa kabisa tumeshukuru sana kwa sababu droni ya Far de C imevuruga gari la RDF.
[7:07]Hii tunasema ni kweli. Eh, jana kabisa vitu vimevumka kabisa. Mambo yamekuwa matata. Hata kuna wapashahabari mmoja wa Rwanda wameanza kutatala, wameanza kusema kwamba Far de C imetubomolea. Ndio maana wamewabomoa kabisa. Ile ilikuwa inabeba vitu na chakula. Ilikuwa inabeba vitu na chakula.
[7:37]Lakini hatujui kama kuna kitu kingine kinachofanyika huko ng'ambo za Iji. Watu wa Iji wote tunawasalimia tukisema kwamba mtuambie habari zilizoko pale. Ni kitu gani kinachoendelea pale? Kama kuna kampuni ya kijeshi hapo? Lazima tujue kabisa mnatupatia habari ya pale. Ng'ambo za Minova, ng'ambo za Minova kumesemakana kwamba kuna watu wawili waliokosekana. Na hapa hatujajua mahali walikwenda. Ni watu ambao walikuwa wakiingia hapa pamoja na hawa hawa wa UN. Ndio hao waliwekwa kamba mpaka sasa hawajajulikana walikokwenda. Tunaruka ng'ambo za Kavumu huku ambapo wasiwasi tena imeamkia katika siku ya leo pahali pengi hapa Chivanga. Na ambayo kule kunaendelea kusikilikana ya kwamba wasiwasi inakuwa nyingi sana katika maeneo hii ya Kavumu. Tunaenda huko ng'ambo za Kabaa hapa ambapo risasi inaendelea tu kulia. Takuta kwa milima.
[9:03]Hata watoo wetu hawajatangaza kitu. Simba ya milimani anasema yeye mpaka akamate Kavumu na kuongoza Kavumu kabisa. Anataka kufukuza hawa wa UN pale Kavumu. Yaani kusema anapenda kabisa Kavumu, miti, huko kote akamatiwe. Na itakuwa nzuri sana tena sana kabisa.
[9:34]Ndugu wapendwa, tuendelee kuwa pamoja na Holy Kivu TV pamoja nami Kolombokaa, mwenyekiti mwenyewe, mfalme wa habari kabisa. Kama nimekuwa pamoja nanyi. Unaweza kuponda subscribe yako pamoja na Andika ujumbe bwana. Angalia video yetu uimalize. Angalia video uimalize na andika Fanya subscribe yako itakuwa nzuri sana ndugu yangu. Na hapa utakuwa umetufanyia kitu kizima kabisa. Utakuwa umetufanyia kitu kizima na utakuwa umefanya kitu kizuri kabisa katika yote. Ndugu zangu. Ndugu wapendwa tunaendelea kuwa pamoja nanyi katika mambo yote kwa muda huu. Tukiwaambia tu kwamba Batuni ya Rwanda imejenguliwa kabisa. Mpango wa vita tunakuwa kalme kabisa. Hakuna mapambano kwa muda huu. Ng'ambo za Mirembwe Walungu huku ndio kunaonekana mapambano madogo madogo ambayo imesikilikana huko ng'ambo za Walungu huko kabisa. Imeonekana ng'ambo za Yulia Mgogo ndio kulikuwa mapambano juzi na jana. Asante sana ndugu wapendwa wa Diaspora Kongomani. Wote tuna wa salimu tukisema kwamba Mungu aendelee kuwabariki sana. Tumsalimie mama Nadia. Nadia kabisa tunasema hamjambo kwako mama yetu. Mungu aendelee kukubariki. Kuna watu waliotuandikia kwenye ukurasa wetu. Wameandika mambo mengi sana. Wamesema kwamba Kolombokaa tunakufuata tano juu ya tano tukiwa hapa Lubumbashi. Huyu ni Dada Sifa ambaye anaandika ya kwamba Kolombokaa tumekufuata tukiwa hapa Lubumbashi tano juu ya tano. Na tunamuona Alimasi Eli anatuandikia aseme Kolombokaa, kwa nini Congo haiwezi kupiga Rwanda? Limoya analimoya liishie pale. Hapa ndugu yangu, inabidi kwanza diplomasia imalize kazi yake. Na hapa kabisa declaration de guerre ikiwezekana na iifanyike. Huwezi pigana bila declaration de guerre na huwezi pigana bila kukamata plan de guerre. Kila kitu yote ni vile. Tunawasalimia watu wote ambao wanakuwa ndani ya kundi ya Official kabisa. Tunawaambia ya kwamba kila kitu yote kiko alaluppe. Tunaendelea kabisa na kuwapatia mambo. Hatimaye tumemsalimia papa Mumbeli kabisa naye vile vile. Tumemsalimia papa Mubala huku kwenye familia. Tumemsalimia ndugu yetu DJ Biyanga, Papa Oscar Mirindi. Na wengine wote. Papa John, mama Angelique. Tumewasalimia nyinyi nyote kabisa. Baati Mwindo. Tumewasalimia nyinyi nyote. Tumewasalimia nyinyi nyote tukisema kwamba Mungu aendelee kuwabariki kabisa. Na kila kitu yote kitakuwa kizuri sana tena sana kabisa. Ndugu zangu wapendwa ambao mmekuwa pamoja nami wa Kongomani wenzangu. Ambae kabisa tunakuwa na furaha hii kuona hii batoni ilikuwa inabeba vitu lakini waliibomoa. Ni kitu ya lazima sana. Nous sommes arrivés à la fin de cette édition. Merci à vous de nous avoir suivis jusqu'ici. Si vous avez apprécié ce contenu, n'oubliez pas de vous abonner à notre chaîne, d'activer la cloche de notifications pour ne rien manquer de nos prochaines vidéos. Likez et partagez cette vidéo. On se retrouve très prochainement, à bientôt.



