[0:00]Yes, wanangu wapendwa, habari yenu? Habari ya asubuhi ya asubuhi hii ambayo kabisa tumekuwa pamoja nanyi katika asubuhi ya leo kabisa hapa kwenye Holly Kivu TV.
[0:13]Ambao tuko pamoja nanyi kabisa kwa muda huu tukiitoa shukrani zetu kwa watu wote ambao wanaendelea kuwa pamoja nasi katika habari zetu zote ambazo kabisa mmeendelea kutufuata mchana kama vile usiku.
[0:31]Tukiwapa update za asubuhi ya asubuhi ni kitu gani kinacholala ama ni kitu gani kinachoamka. Yaani tunawaambia kama Sange mapambano inaendelea hapa Sange kabisa.
[0:44]watoto wa mama wameingia tayari katika mbingini mbalimbali katika Plande la Ruzizi na kukamata mahali pengi sana ambapo kweli kulikuwa kumetawaliliwa na hawa wahuti wa M23.
[1:06]Na kwa kweli baada ya M23 kuja kuingia katika maeneo mbalimbali ambazo wazalendo walikuwa wakifanyia doria na kuchomokea wazalendo katika ma position zao, wazalendo wamefaulu.
[1:25]Wamefaulu kabisa kujaribu kumpiga adui na kumrudisha nyuma kabisa na hapa wamemfukuza mpaka Sange. Hivi kwa sasa tuko tunaongea masasi iko inalilia Sange kabisa.
[1:43]Na Katobo huko kabisa, njoo kwenye masasi iko inalilia. Watu wengi wanaanza kusema ya kwamba Uvira inakuwa za take wamekuwa karibu 7km na Uvira, hii ni uongo mtupu. Hawako hata karibu 7km na Uvira.
[2:04]Unajua Luberika Uvira ni kilomita ngapi? Karibuni 26 na 25km Luberika Uvira Sange, Uvira vile. Don kutokana Sange kwenda Uvira vile ni kama vile 10 na 7km. Don unaona kama ni kitu yenye inaomba kuelewa kidogo mabarabara jinsi zilivyo.
[2:35]Hii Route Nmero 5 inakuwa mapambano Mwaya kubwa sana. Na hapa tulikuwa tunadhani si kama ni vitu vya rahisi sana kufika Uvira. Haiko haiko rahisi tena kwa sasa sababu.
[2:51]walitoka kwa moto na watapata tena kwa moto pale pale na wakichokoza tu maanake vitu vinaharibika sasa. Don kusema hapa Uvira ni hatari.
[3:05]Don kusema watu wanadhania kama ni za. Ndio tuko ndani, tuko vita. Tuko vita.
[3:13]Na il faut recuperation ya mingine yote ionekane kabisa kwa siku kidogo, kwa siku kidogo inabidi kabisa mingine yote ikuwe bien recuperer.
[3:24]Na hii ni kitu ambao kabisa mnapasha kuelewa, ni kitu ambao kabisa mnapasha kujua. President de la Republique Felix Antoine Tshisekedi Chilombo a rci ce mardi la cite de l'Union Africaine Johnny Mulimba.
[3:43]Ministre delag de l'Uganda, l'integration regionale et emissaire du president Yoel Musaveni Kabuta.
[4:00]Porte parole de d'un message officiel porte d'une message officiel l'missaire Ugandais a transmi au chef de l'Etat une invitation a la ceremonie d'investiture du president Musaveni.
[4:22]Cette scence diplomatique devrait galement permettre la signature de plusieurs protocoles d'accord entre la RDC et l'Uganda afin de renforcer davantage les coopration bilaterale.
[4:46]Asante sana mumesikia ni jua kama president Flix Antoine Tshisekedi Chilombo.
[4:55]Alimpokea Johnny Mulinda, ministre de l'ag Ouganda huyu kabisa alikuja kumpatia invitation ya ya ceremniny ya investiture ya President Yoel Museveni.
[5:13]Mnajua kama since Musaveni hajati hajalipa hata gouvernement kwake, na hajalipa officiel hajalipa officiel kutumikia Uganda, yaani kulikuwa kumngali ma peripation mbalimbali na ilikuwa imesemekana kama yeye mgonjwa sana kabisa.
[5:38]Ndio maana alikawa lakini hivi sasa Yoel Musaveni Kabuta huyu ni President wa Uganda anaanza kusema ya kwamba inabidi analapa sasa inabidi analapa kwa Waganda wote ya kwamba.
[5:55]atatumikia Uganda jusqu'a l'infini. Kabuta Musaveni ni mzee mkongwe kabisa. Amekuwa mzee sana kabisa kwa President.
[6:07]Don kusema yeye hapendi kutoka. Inawezekana yeye anasema atakufia tu pale kwa Presidence ile ni ya kwake ile kabisa.
[6:18]Vile vile President Felix Tshisekedi pre pour une 3me manda, si le peuple le veut il galement soutenu tout rflexion pour un changement de la Constitution par referendum.
[6:44]Felix Antoine Tshisekedi yeye anasema kwamba population ikitaka inaweza mpata ya tatu. avec changement ya constitution. Kupitia referendum.
[7:00]Yeye anasema vile kupitia RTNC. Anasema no, mimi mimi siiko swafi de pouvoir. Mimi sipendi siikalii tu pouvoir ya. Watu tuko wamingi tulishoma. Watu tuko wamingi walishoma.
[7:13]Mais kama population ya Congo yeye pekee atasema no ni kali ya kapuvoir. Yeye pekee atampatia le pouvoir. Nitaweza ikala pale na itanisaidia.
[7:27]Sababu Congo ni Congo ya population. Haiko Congo ya wale wa chef. Wale wote wanakuaka hapa kutumikia tu. Ni sisi tunapatia pale.
[7:40]Mwe huko wengine wanapenda wafanyie nguvu, wakuwe wanadesha kama vile. Okay, c'est bon. Fanya tu hiyo unataka. Mimi kila kitu yote iko na wakati yake.
[7:54]Felix Tshisekedi anasema yeye hana hana hata problem ya swaf de pouvoir. Hana hata problem ya swaf de pouvoir. Yeye anataka tu maendeleo ya nchi. Anataka nchi iendelee, ijengwe.
[8:13]Ikuwe na amani, irudishiwe amani yake na droit Congolese ionekane. Don kila mkongomani akuwe na droit akuwe na access.
[8:24]Murepublika yake. Don agikutane na iko Congolese parmi les Congolais. Ile tu ndiye yeye Tshisekedi anasema anataka. Hakuna vitu vingine.
[8:35]Soh na population wakitaka kumpatia 3me mandat hawezi ikataa. Hawezi ikataa. Na anasema kama kuna marealit zingine zenye zitaendelea kuonekana a partir ya maongozi yake.
[8:53]Yeye anataka afungule reali, afungule macho ya wa Patriot Congolese yenye walikuwa wamelala, ndio walikuwa wamesinzia.
[9:04]Tunaenda kwenye uwanja wa mapambano huku huku Plande la Ruzizi kabisa tunaona wa.
[9:16]wazalendo wanaendelea kusonga mbele kabisa katika maeneo mbalimbali huku Plande la Ruzizi. Plande la Ruzizi kabisa kunaendelea kusonga mbele. Nikusema wazashuka watoto wa mama wamefika mpaka Sange kwa leo wanaanza kupigania Sange.
[9:37]Na hii inatufurahisha sana. Tuliona wa askari wa ndugu yetu Meshak wako kabisa kwenye mapambano na kabisa hii ni kitu ya nzuri sana.
[9:49]Ila tuko tunaambia wazalendo wote waende mbele ku ligne de front ili kwamba adui asipite na kuingia huko Uvira.
[10:04]Kalehi la situation scurit reste proccupante aux alentours de Katasona ou de donation d'arme lourdes et lgres ont t signal ce mercredi 6.
[10:23]Selon des sources locales une femme a t bless par balle a la jambe lors de ce incident walibadilisha. President Flix Tshisekedi.
[10:37]je promis de dcorer l'artiste Fally Ipupa au nom de la RDC qu'il sera de retour au pays.
[10:53]Don anasema ya kwamba Fally Ipupa ni lazima arudiye mwenyewe nchi sababu Fally alikuwa anamaliza wakati iko Merope. Alors anasema no, il faut kabisa apate Fally wakati yake ya kurudiye.
[11:10]Fally alikuwa amekimbia. Hatuwezi kusema. Ndio maana kuna maproblem zake zingine. Mnajua kama alikuwa anaiita alikuwa amewahi kumlunguza nyumba. Kumwataka Fally a l'poque. Walimlunguzaga nyumba.
[11:24]Boke akakuwa sijui anaongeaga na Macron. Felix alikuwa anaongea na Macron. Félix analomba, pardon, si Ali promtra kumpiga Rwanda mkusema a la moindre des escamouche.
[11:45]Ah, ilikuwaaka faible. President Felix Antoine Tshisekedi anasema no alisemanga atapiga Rwanda la moindre de escamouche. Lakini inaonekana kama hakukuwa anajua kama arme ilikuwaga faible.
[12:03]Alikuwa anadhaniaga aseme arme iko na nguvu. Alidhania aseme mwenzake aliacha kisoda ya Congo iko na nguvu. Kumbe aliacha kisoda ya Congo iko na traire ya mingi. Ndio Felix Antoine Tshisekedi anasema no. iko desole kabisa anasema no hakukuwa anajua kama kisoda hakikuwaga na nguvu. Ndio analomba kwanza huruma kusema atatwanga Rwanda.
[12:30]Sasa hivi vitu vinageuka. il faut kwanza atengeneze kisoda. Atengeneze kwanza arme, ndio vitu vingine vyote vitakuwa.
[12:40]vitakuwa vizuri. Don kila kitu yote inabidi kabisa kila mtu ajue tu kama kinywa inasemaka vya mingi lakini matendo ndio problem. Hiki kinywa.
[12:56]Mona naongea vya mingi. Matendo les actes ndio problem. Don anasema yeye kitu ya kwanza, il faut kutengeneza kwanza, kutengeneza kwanza kiaskari ya Congo kwa maana ilikuwa imekufa imefariki kabisa vizuri vizuri. Ilikuwa haiko kisoda. Don ilikuwa inachangana na mambo mengi sana.
[13:20]Alors hatungepashaka kupiga hata Burundi. Hatuwezi piga. Juu ya nini? Juu basoda yetu biko ma tretre ya mingi.
[13:30]Hakuna hakuna nchi yenye tungepiganaga nayo ama yenye tunaweza piga na nayo tushinde wakati yenye kiaskari chetu kimechanganyiwa na ma change change ya ma pays. Rwanda, Uganda, Ethiopia wanani wote walikuaga walisema ni Wakongomani. Alo hapa ndio kwenye problem yetu iko.
[13:53]Melange de militaires trangre mu Congo. Inatuma hatuwezi tunakuwa faible. Congo haina haina soda wa nchi yake tu. Kunakuwa wamelange, don unakutana wa Randais, wa Ougande, wa nani wote wako mu Congo na wote wanasema ni Wakongole.
[14:17]Hapa ndio kwenye problem iko. Sasa yeye Tshisekedi wakati alisema atafanya au moins des escamouche, atapiga Rwanda, alikuwa anadhaniaga kama nchi iko na basoda. Ah, ma découverte anasema waongo kabisa. Tungali mbali.
[14:35]Il faut kwanza kutengeneza kwanza kisoda cha nguvu cha nchi, don ya watoto ya nchi. Ndio pale unaweza fanya ile moindre d'escamouche. Ile kabisa inasikilikana, don wanasema ilikuwa.
[14:52]alikuwa aka parol verbale ndio tunaweza iita. Me anasema no, iko desole kweli mu. Samehe juu alisemaga vile na hayafanya yale action. Kisoda kilikuwa kimeharibika kabisa na hivi tunaona kwa sababu batri zilikuwa wamingi. Hakuna hakuna jinsi. Unajiuliza mtu alikuwa anaongea.
[15:16]Unafanya vitu vya siri kumbe viko vinaenda directe kwa mwenyewe huko unasema. Don tulikuwa tumeingiliwa kabisa. kabisa tulikuwa tumeingiliwa. Tumeingiliwa kabisa. Haya ni hatari kabisa, ni hatari kabisa, ni hatari. De combats sont signal ce mercredi dans la localit de Kigoro Kabo Nambo 26km na North ya Uvira. Ndio kwenye masasi inaendelea kuwako kule. Don ni kusema Sange vitu inakuwa matata kabisa.
[16:04]Kuna mavideo ambayo inaonekana wazalendo wanaonyesha ya kwamba wasivile wako wanakufa ni Sange. Maanake M23 iko inawaua wasivile, swali zake iko inawaua wazalendo. Panda subscribe, fanya share kwa watu wengi. Angalia video yetu na uilike.



