Thumbnail for MAPAMBANO MAKALI À WALUNGU 🔥 M23 vs WAZALENDO & FARDC – Situation explosive ! by HOLLY KIVU TV

MAPAMBANO MAKALI À WALUNGU 🔥 M23 vs WAZALENDO & FARDC – Situation explosive !

HOLLY KIVU TV

16m 26s1,607 words~9 min read
Auto-Generated

[0:00]Yes, mjambo wandugu wapendwa habari yenu. Habari ya asubuhi ya asubuhi ya leo. Mimi ni wenu Kolomboka mwenyekiti mwenyewe ambaye kabisa nimekuwa hapa kwa muda huu. Nikiwapatiwa moja kwa moja habari zetu za asubuhi ya asubuhi ya leo. Ndugu zangu wapendwa nimekuwa hapa ili kwamba nipate kuwajulisha mambo jinsi yalivyo katika uwanja wa mapambano. Tutaingia katika mahali pengine katika Sid Kivu na tuje hapa Nor Kivu. Baadaye twende Iji na Iji Nor na Iji Sid ni kitu gani kinachoendelea na hapa ng'ambo ya Ngombo. Ngombo ni kalile kadogo kenyenye kanakuwa upande moja ni Kongo na upande mwingine ni Rwanda. Hapa kunakuwa ni kitu gani ambayo inachezeka hapa ambayo kabisa watu wengi hawajui. Watu wa Ngombo wanasema lugha mbili, wanasema Kihavu, wanasema na Kinyarwanda. Ngombo ni mahali ambapo kabisa inaonekana kwamba parti ya Kabambi ni ya Rwanda. Parti ya kidogo ni Kongo lakini yote ni ile moya. Donge hapa tunaanza kujiuliza mengi sana kwa ajili ya Ngombo. Ngombo ni pembeni ya Iji Nor. Hapa kunatoka Marelo zanaingia mara moya Iji Nor na Iji Sid. Hapa kunatoka ma ame ambazo zimekuwa sophisticated sababu baliona kutoka Rwanda kuingia Ngombo. Ndio karibu kufikisha army katika ng'ambo za Minova na kufikisha Minova ng'ambo za Gavumu. Na walisema ya kwamba si vema wapite njia ya barabara bali wapite njia ya maji. Hapa ndio kwenye problem iko na hapa kabisa mambo imejulikana tumevumbua mambo mengi sana. Hii Ngombo iko tena karibu ya Kibuye ng'ambo ya Rwanda huku Rwanda kabisa ng'ambo ya Kibuye. Donge wakati unapo kuwa pale ku beach ya Kibuye unaona kwa urefu sana unaona mahali pako wanandika Ngombo. Ngombo ni ng'ambo ya Kibuye. Tena unaweza kupita hata kule ng'ambo za Cangugu unafika tena Ngombo kama ukifika huku ng'ambo ya kutoka ukiwa Rwanda unafika huku ng'ambo za za Nyama Sheke alafu pale unaingia Mumaji unakamata meli, unaingia Mumaji unafika Ngombo. Sababu gani tunasema haya mambo ni kwa sababu wakongomani inabidi tunafunguka macho na tunajua kabisa hali yote jinsi ilivyo. Batu ambayo ilikuwa watu ya M23 Rwanda Pro Rwanda Fardef, ilipigwa Mumaji kupitia hapa Ngombo ndio kwenye walikuwa waniingizia ammunition. Alafu kulikuja drone hawakujua kwenye ilitokea mpaka hivi wanaendelea kujiuliza hii drone ilitoka wapi? Walijua tu, waliona tu inawafikia na kulunguza watu ile na ikazama Mumaji. Na mpaka sasa hivi inaleta fujo kabisa kati ya Fardc na na na RDF. Donge RDF inaanza kusema ya kwamba watu ambayo ilikuwa inachunga maji imelungula hawajue nani mwenye anayelungula lakini wanasema kwamba ni Fardc, wanasema ile ni ni ni uchokozi ambayo Kongo iko inafanya kwa ajili ya maeneo ambayo wameongoza. Na hapa kabisa inakuwa ni kitu kikubwa sana. Donge ni kusema walikuwa wanabeba minition Iji Nor ndio wakapigwa. Na hapa kabisa tunashukuru sana katika taarifa ambazo tumepata tumepata taarifa kujua kama anga ya Bukavu, anga ni kusema air eh anga ya Bukavu imeanza kuongozwa kabisa na Fardc ng'ambo ya anga kabisa inaonekana kabisa kama vyuma vyetu vimepanda juu kabisa hakuna kitu kiko kinapitika Bukavu pasipo kujua kujulikana. Sababu ya haya ambayo imepitiwa ndani ya maji, jana katika siku ya jana, walianza kufanya reunion yao tangu saa mbili za asubuhi hadi saa mbili za usiku walikuwa wakifanya reunion Plus Mulamba huku ng'ambo ya Parke. Walikuwa pale kabisa wanajaa kule kote kulikuwa kuna wala kabisa ni hatari ni hatari kabisa kule kote kulikuwa kuna wala majeshi wanafungua njia sababu walikuwa ndani ya reunion. Na bwana Kabila inasemekana kama iko inaonekana katika Iji Nor. Ndio kunaonekana Joseph Kabila amejificha huko Iji ndio kumejificha huko. Na imesemekana kama kabisa imeonekana kwamba wa askari wamekuwa wengi hapa Parasi ya Iji sasa na hapa kabisa ni sources zetu za ndani ambazo ziko zimetupatia mambo huko kabisa. Na kila kitu kiko kinaenda vizuri kwa ng'ambo yake kabisa ndugu zangu. Wandugu wapendwa tunaenda huku ng'ambo za Walungu ambapo wasikari wakasha Foca Mike Mulula. Kabisa waliendelea kupigana huku kabisa na M23 ambao walikuwa wamejenga huku ng'ambo ya ya Walungu huku. ambao walikuwa wamejenga barabara huku kabisa walishtukiwa kwamba wameshikwa na hawa wanajeshi wa wa Foca Mike huku ng'ambo za Abu Ng'ambo za Walungu huku kabisa. Na Foca Mike alikuwa anamaliza wakati mrefu asisikikane katika mapambano sasa wa askari wake wanaanza kusikikana katika ng'ambo za Walungu huku kabisa. Inakuwa ni mapambano kabisa kwenye mapambano kabisa huku ng'ambo za Walungu. Gari ambazo zilikuwa zinaenda Mwenga Kamituga zilishimama kwanza ili kwamba waangalie jinsi gani wanaweza kuchunga kwanza wasikie mazazsi imetulia na hapa waendeleeshe safari zao. Na hapa kabisa imeonekana kwamba mtutu ilikuwa ni mtutu huku ng'ambo za Walungu huku kabisa na hapa kumaji kumaji machafu huku kabisa maji machafu ambayo imekuwa huku ng'ambo za Walungu. Na ilionekana kabisa ya kwamba wasikari wa Foca Mike walikuwa wengi kuzidi. Lakini inaonekana kabisa ya kwamba wamepigana tangu saa kumi na moja za magharibi hadi saa tatu za usiku. Kwa sasa tuko tumeongea hatusikie tena kama masasi imeendelea ama imekuwa namna gani lakini imesikikana kama masasi imetulia kwanza kidogo. Na hapa kabisa walikuwa wakipigania ng'ambo za Walungu huku ng'ambo za Bwau. Tunaenda huku ng'ambo za Nzibira, Nzibira nako kulikuwa atake ya wazalendo wa mzee Mandevu. Huyu wanamuita huyu ni Simba wa Nkutu. Simba wa Nkutu naye alipigana ku ng'ambo za Nzibira kwa siku ya jana kabisa pamoja na M23 ambapo kabisa walikuwa wanataka kupasua njia na kwenda ng'ambo za Kindi huku kabisa. Lakini wamepata cha mtemakuni tena kabisa. Yaani ni kusema wao wamedanganya International kusema ya kwamba wameanza kurudi nyuma kutoka lakini wao hawatatoka katika nchi ya Kidemokrasia ya Kongo kwa urais watatoka kwa nguvu na fimbo kabisa ya Mokolo. Ni wakokulumboka mwenyekiti mwenyewe, mfalme wa habari ambaye nimezidi tu kuwa pamoja nawe katika muda huu ambao kabisa mambo imekuwa mambo kabisa. Wandugu wapendwa tuendelee kabisa. Tufuate kila kitu jinsi kilivyo ndani ya media yetu kabisa. Wandugu wapendwa tunawasihi sana kila mtu aponde subscribe kwenye Holly Kivu TV afanye share kwa watu wengi. Angalia video yetu uimalize. Like comment ni kitu ya maana sana wakati ambapo unaweza kulike unacomment ni kitu ya maana sana sababu umetutia moyo na kutujulisha ya kwamba uko pamoja nasi katika muda kama na huu. Ndugu yangu nitakwambia tu kama wewe endelea kuwa pamoja nasi katika muda huu wote mzima na sisi tutakuwa pamoja nawe kabisa. Bandeko na biso ya Kinshasa topeshe binjo bote tunalo bishumatu dhomingi ponyetu lelo oyo tuzokoyebishabino lokola na CIKIVU na NOR KIVU ezala ka makasi Na kati ya Walungu ndebishumbe makasi batetuni na Walungu zama makasi na Force Makikiko.

[10:45]Bandiko na bishu, babeta ni babeta ni kabisa mambo imekuwa matata. Tukotunamwambia watu wa Kinshasa kule kabisa Kinema lebo. Na tunaambia watu ya Burundi Viru, wapi kule kote ya kwamba mapambano imeendelea kuwa makali sana tena makali sana. Vile vile tunakuja huku ng'ambo ya Nor Kivu Nor Kivu kabisa huku ng'ambo za ng'ambo za za Rucuru na Masisi. Kabisa kunaendelea kusikikana mapambano mengi sana ambao SIMC Nyatura wanaendelea kufanya kabisa kazi huku ng'ambo ya CID Kivu ya Nor Kivu Pito na kupigana kabisa kila mchana na usiku. Wameisha kukamata mali pengi sana katika mitaa ya Nor Kivu kama vile Lubero. Kasingisi, Kashengo na mashengo na huku ng'ambo za kiwewe nako wamesha kukamata mali pengi sana. Tunaenda hata ng'ambo za Masisi eh kuna maeneo mbalimbali kuna mavilage mbalimbali ambao imeishakuwa kurudi katika mikono ya Fardc pamoja na wazalendo. Watu wengi wanaendelea kupiga mikono na kufurahia kuona wanadugu zao wameisha kurudi katika masentry mbalimbali ambazo zilikuwa zikiwa mikononi mwa adui lakini gouvernement inaenda inarudisha ile mafasi. Kunabaki kashebeli kunabaki mwisho, Kichanga, Bunagana, Kibumba na hata mafasi mengine na kutusikia kumekamatika. Inaweza kuwa vizuri sana wakati ambapo tumesikia huku kote kabisa kumekamatika. Watu ambao walikuwa huku ng'ambo ya Kazike kupita Parke ya Virunga wamesikia masasi mengi sana mengi sana mpaka ya Virunga hadi mpaka hivi. Tuko tunaongea wameniambia bwana tuko tumesikia masasi ya mingi sana ng'ambo za Parke huko na hatujajua kabisa ni kitu gani. Wengine wanasema ni wale ambao Nyatura ambao wanakuanga Parke ya Virunga ndio wamekutana na gari ya wa M23 na kugongana kabisa kiasi kikubwa lakini mpaka hivi hatujajua hii. Nali Mareni hatuyajua kabisa kama kweli huko wapi. Ndugu zangu wapendwa ambao mumekuwa pamoja nami kwa muda huu ambao ni muda mzuri sana ambao ni muda mrembo kwetu sote wa asubuhi ya asubuhi ya leo nikiwatakia asubuhi njema mardhi bonemardhi na itakuwa mzuri sana kabisa. Ni mimi wako yule yule tu Kolomboka mwenyekiti mwenyewe, mfalme wa habari ambaye nimezidi tu kuwa pamoja nawe katika hadi yote ya kukujulisha jinsi mambo inavyoendelea. Kwa siku ya sita iliyopita ndugu yetu Amuli ya Kotumba alifanya alifanya alifanya kazi ya usafi katika mahali pengi huko Minembwe mikenge Fizi. Alikata majani pamoja na raia kabisa ilikuwa ni vizuri sana kuona ile ni sign ya amani ambayo alionyesha kabisa huko ng'ambo za Minembwe huko kabisa. Kuna gari ambazo zilikamatiwa za organization ya CNF ambao ilikuwa inaenda beba aid humanitaire ng'ambo za Mwenga huko na walikuwa ndani wa espion wa wa M23 ambao walikuwa wanatoka Bukavu kusema kwamba waende waangalie gisi Kamituga kuko Mwenga kuko

[15:07]Bili kwamba wapate kufanya atake. Ndio maana tunaanza kuwaambia mfanye angalisho na zile magari za maonge mahali pote mnapokuwa. If faut kufie ile maonge ile magari za onge. Nazo zinaingizaka wanami ma parti mbalimbali sababu ile koma aid humanitaire hauwezi kuwazia kabisa. Kulikuwa wazungu wa technician ambao walikuwa wanaenda sawa walikamatwa. Lakini M23 nayo ilikamata kwa Rouge mmoja wanamuita Pablo huku Mwenga huku Walungu na kumbemba. Mpaka hivi hajajulikana mahali ambapo alivyokuwa. Na hapa kabisa inaonekana ya kwamba M23 inaanza kufanya kaoneo ya kukamata watu wa Kwarouj ambao wanatoka katika mahali ambapo gouvernement iko. Na kwa hii kabisa tumeendelea kutoa shukrani zetu kwa nyinyi nyote ambao mnaendelea mnaendelea kuandika message yenu na nyote ambao mumekuwa pamoja nasi katika hapa kwenye Holly Kivu TV. Asante sana Mungu awe pamoja nanyi katika maisha yenu yote nawatakia baraka ya Mungu.

Need another transcript?

Paste any YouTube URL to get a clean transcript in seconds.

Get a Transcript