[0:00]Yes, mjambo wandugu wapendwa, habari yenu, habari ya siku ya leo ni mimi wenu Kolomboka Mwenyekiti mwenyewe, mfalme wa habari. Kabisa nimekuja hapa ili kwamba tupate kuwa pamoja nanyi katika muda huu wa asubuhi. Hapa kwenye Holly Kivu TV kabisa mimi niko hapa kabisa ambaye niko nikiwapatia kindumbwe ndumbwe nikiwapa kabisa moja kwa moja habari zetu za siku ya leo niwaambie mambo jinsi ilivyo bwana. Yaani uko pale pamoja nami na mimi niko hapa pamoja nawe katika muda huu kwa saa hii. Nataka kukupatia biso ndani ya lake Kivu kulipitikana kitu gani, ni kitu gani ambapo kilipitikana huko kwenye Ituri North, huko ambapo kabisa bateau ya ADF ya Rwanda ilipigwa, ilipigwa kabisa huku Mlaki Kivu. Nani mwenye alije? Tutakuambia kule kwenye habari zetu. Wewe tu uko pamoja nami tano juu ya tano hapa na mimi nitakuwa nawe tano juu ya tano kabisa. Leo ni tarehe 4 mwezi wa 5 mwaka 2026 kabisa ambayo nimekuwa hapa mbele ya mikrofoni yetu ya Holly Kivu TV. Kitu gani unachohitaji? Tunachokuhitaji yako ni kitu kimoja. Ponda subscribe. Angalia video yetu uimalize. Na hapa utakuwa umepata mambo kabisa kemkem ndani na itakuwa ni kitu ya maana sana tena sana kabisa. Ni mimi wako Kolomboka Mwenyekiti mwenyewe kabisa nimekuletea Kolomboka mwana nabii na yeye kuabisa bin formation na bisu ya kitoko ya lelo oyo. oyo na kati ya Lake Kivu, na bisu na bisu na Nor Kivu na na Montagne na bisu na kati ya Mai na Ituri North ndiyo iko ikenda pour komema mambo na M23.
[2:41]Umeona ni nani amewapiga bomu ya Mayi? Hiyo ndiyo kitu tunataka kabisa. Drone ilikuwa ikaona kabisa ikapiga boti mu Mayi, vilee ndio tunapendaka.
[3:04]Acha nikuletee mambo ya asubuhi ya leo bwana. Watapigana. Acha nikwambie, boti ilivuka inatoka Rwanda ikenda kule ng'ambo ya ng'ombe kule M Ituri North kule, ndiyo kwenye ilienda, ilikuwa inaenda kule. Eh bwana bana injumbungu, bana injingi-jingi. Ah fare des choses ya makasi. Sasa tumejiuliza hivi: Drone yenyewe inapiga hii boti mu Mayi ilitoka wapi? Eski bateau ilikuwa inatoka ng'ambo ya Gisenyi, ng'ambo za kule ng'ambo ya Rwanda kule kabisa ng'ambo ya Rutiro mu Rwanda. Ndio kwenye ilikuwa inatoka. Inaleta mamishin na chakula. Juu ikishafigisha Ituri North ndio kwenye ilikuwa inenda. Ikuja shavuka kali Ituri, ikienda bwana ng'ombe. ilikuwa ishavuka kule kote Mugombe na iko inaelekea ng'ambo za Congo. hawatakuiona. Wanayepiga. Hapa niko nakwambia kama boti hii imejembuliwa kabisa vizuri sana hapa Mlaki Kivu. Hivi ndio venye sisi tunapenda. Sasa na isibaki lie tu hapa. Na zile bateau zinaletaka mara mfuu zote bonge chini kabisa. Ile mara mfuu zinatoka mu Nor Kivu Goma, zinakwaka na baa na baa militaire. Zote babomole chini kabisa. Pas que deja hakuna tena vya kuhurumiana. Hapa vichu vinakuwa make matata mimi nakwambia. Leo asubuhi na 5:45 ndio boti zilibomolewa hapa Mlaki Kivu ambayo ilikuwa inatokea kule ng'ambo za Rwanda na kujielekeza mu Ituri North kule ambapo ilikuwa inabeba mamishin hapa Ituri North. Na hapa wameibomoa kabisa na ilikuwa airborne, ilikuwa bateau marin ilikuwa bateau ya ya marin. Ehehe tunasema marine. Ilikuwa bateau ya wale wa askari ambao wanapigania ndani ya maji nayo kabisa imejembuliwa ni kusema ya kwamba hakuna kuvuka mstari wa pili. Kabisa haiwezekani. Na hapa kabisa tunashukuru drone yetu ambayo kabisa iliona na 5:30 ndiyo boti walipiga mu Mayi. Mpaka hivi ng'ambo yote mbili hawajasema kitu. Mpaka hivi kabisa Rwanda ingali imenyamazia na Congo ingali inanyamazia lakini mambo yote ilionekana kwa macho ya binadamu. Yaani ni kusema ya kwamba sisi hatutacha kusema isipokuwa tukuwapasha habari ya mambo iliyopitikana. Ndiyo ni kusema hii boti ilipigwa mu Mayi. Ilipigwa na drone inatokea wapi? Tunajua kama Bukavu, Goma, Ituri North, Ituri South, Bagahoko biko kule. Sasa hii boti inapigwa na banani. Banani venye viko Mayi, eski banapigwa kutoka Minova? Eski banapigwa kutoka Bukavu? Eski banapigwa kutoka wapi? Eski hii boti imepigwa na banani? Pita, sababu tunaweza kusema ya kwamba pepetre bapeke bazo ipiga eh kusudi ikue kusema kama imepigwa na Fardc, nayo inawezekana. Donc ni kusema hii boti ukiangalia vizuri ilikuwa inabeba mamishin. Ndio baliiona mu image, the second image, wakayepiga. Donc ni kusema vitu viko matata sana kabisa na hapa kabisa tumeshukuru sana sababu drone ya Fardc imebomoa boti ya ADF. Hii tunasema hiyo ni kweli. Mu Mayi jana kabisa vitu vimebomoka kabisa mambo imekuwa matata. Hata kuna wapasha habari wa moja kwa moja huku ng'ambo za Rwanda wameanza kutatanika. Wameanza kusema ya kwamba Fardc imetubomolea. Imetubomolea. Na bado wameibomoa. Watabomoa na kujengua kabisa vizuri sana. Hii boti ilikuwa inabeba mamishin na chakula. Ilikuwa inabeba mamishin na chakula, but hatuyajua kama kuko kaengine ya Bagahoko inayofanyika huko ng'ambo za Ituri. Watu wa Ituri wote tunawasalimia tukisema ya kwamba mtuambie habari zenye ziko pale Ituri North, Ituri South. Mtuambie ni kitu gani ambacho kinachoendelea pale. Eski Bagahoko biko na ka militant ya bu pale? I faut tunajua kabisa mnatupatia information ya pale. Ng'ambo za Minova. Ng'ambo za Minova kunasemekana kama kuna watu wawili ambao wamekosekana. Kabisa na hapa hatujajua mahali ambapo wameenda. Ni watu ambao walikuwa waki inape pamoja na hawa hawa wa Uni. Ndio ambao waliwakinaye mpaka sasa hivi hawajajulikana mahali ambapo walienda. Tunarukia ng'ambo za Kavumu huku ambapo wasiwasi tena imeamkia katika siku ya leo mahali pengi hapa Chivanga. Na ambayo kureendelea kusikilikana ya kwamba wasiwasi inakuwa mingi sana katika maeneo hii ya Kavumu. Tunaenda huku ng'ambo za Kabare, Katana huku ambapo masasi inaendelea tu kulia taku taku mumlima ya Katana kabisa. Masasi inaendelea kusikilikana ila hatujajua kabisa kama ni kitu gani. Watoto wetu hawajatangaza kitu. Simba ya milimani anasema yeye mpaka akamate Kavumu na kuongoza Kavumu kabisa. Anataka kufukuza hawa wauni pale Kavumu. Yaani ni kusema yaani ni kusema ya kwamba anapenda kabisa Kavumu miti Kule kote kukamathiwe kabisa na itakuwa mzuri sana tena sana kabisa.
[9:51]Ndugu zangu wapendwa tuendelee kuwa pamoja nanyi katika mambo yote kwa muda huu tukiwaambia tu ya kwamba bateau ya Rwanda imejemuliwa kabisa.
[10:46]Mu Plane dela Ruzizi kunakuwa calme kabisa hakuna mapambano kwa muda huu ng'ambo za Mirembwe Walungu huku ndio kwenye kunaonekana mapambano madogomadogo ambao imesikilikana huko. Ng'ambo za Walungu huku kabisa kabisa inaonekana ng'ambo za yule wa mgongo, ndio kulikuwa mapambano juzi na jana. Asante sana wandugu wapendwa wa Diaspora, Congolese, watu yote venye viko Amerika, Asia, Oceania wote tunawasalimu tukiwaambia ya kwamba kabisa Mungu aendelee kuwabariki sana. Tumsalimu mama Nadia, Nadia kabisa tunasema hamjambo kwako mama yetu Mungu aendelee kukubariki. Kuna watu ambao wametuandikia kwenye ukurasa wetu wameandika mambo mengi sana wamesema ya kwamba kabisa Kolomboka tunakufuata tukiwa hapa Lubumbashi tano juu ya tano.
[11:58]Na tunamuona Alimasi, Eli anatuandikia aseme Kolomboka, kwa nini Congo haiwezi kupiga Rwanda? Ni moye na moye bishie pale. hapa kwa huyu ndugu yangu inabidi kwanza diplomasi imalize kazi yake na hapa kabisa declaration de guerre ikiwezekana na iwe ifanyike. Hauwezi piga vita bila declaration de guerre na hauwezi piga bila kukamata plan de guerre. Donc ni kila kitu vyote ni vile. Tunawasalimu watu wote ambao wanakuwa ndani ya kundi ya Holly official kabisa tunawaambia ya kwamba kila kitu kote kiko alalupe tunaendelea kabisa na kuwapatia mambo. Tukimsalimu papa Mambo kule kabisa kwenye familia yetu. Tukimsalimu papa Mumbere kabisa naye vilevile.
[13:01]Tukimsalimu ndugu yetu Didier Bianga papa Oscar Mirindi na wengine wote papa John mama Angélique. Tukiwasalimia nyinyi nyote kabisa bahati Muhindo. Tukiwasalimia nyie wote. Tukisema ya kwamba Mungu aendelee kuwabariki kabisa. Na kila kitu kote kitakuwa kizuri sana tena sana kabisa. Ndugu zangu wapendwa ambao mmekuwa pamoja nami wa Kongomani wenzangu ambao kabisa tunakuwa na furaha hii kuona hii boti. Ilikuwa inabeba mamishin lakini bana ijengua ni kitu ya lazima sana. Na Joseph Kabila Kanambe Kazembe anaendelea kulia kusema ya kwamba sanction banaye mpatiwa na ile sanction ya kifo haifai kabisa. Haifai ndio vile anaendelea kusema. Lakini Donald Trump anafunga masikio anasema unastahili kufa. Unastahili kufa sababu hakuna jinsi unaweza kuwa unaweza kuwa msaliti wa nchi. Maana la Patrie ni pardonne pas le traitre. Ile ni kweli kabisa ambayo tunaendelea kuambia. Ndugu yangu kabisa tunakuwa hapa tukikwambia ya kwamba kuna ndugu yetu mmoja anamiita Anciel. Anciel du régime kabuiste chez Okikundu, brise le silence et lache une véritable bombe politique.
[14:43]anasema nini huyu? J'ai été membre d'une gouvernement passée et je connais beaucoup des choses que plusieurs personnes qui sont qui s'opposant aujourd'hui à la à la revision constitutionnel ignorant. L'actuelle l'actuelle constitution n'a pas été entièrement le fruit de notre volonté elle est à pluton était tailler au imposé imposé. Je me rappelle très bien que l'air les jours où cette constitution a traversé les 1000 collines Rwanda ce sont notamment Azaria Surubia et Caleb Mutonda qui saurait emmener à Kinshasa après quel a été traversé travailler à Kigali. Donc yeye anasema kama hii constitution yetu haikutumikiwa hapa Congo, lakini ilitumikiwa huko ng'ambo za Kigali. Ce qui s'oppose aujourd'hui à la à la revision de cette constitution agissant comme des ennemis du Congo change cette constitution c'est le levée la main de mille collines au Rwanda dans les affaire politique Congolaise.



