[0:00]eleza kwamba maafisa ama wakaazi wa kaunti ya Marsabit wanakumbana na changamoto kutokana na ubovu wa barabara.
[0:08]huku maeneo ya Manyata Ote, Manyata Gida, Nyayo, Shauriyako, Songa pamoja na Shur yakiathirika zaidi. Aidha shughuli za usafirishaji wa bidhaa hadi sokoni katika maeneo bunge ya North Horr na Laimis ni baadhi ya maeneo ambayo yametatikika pakubwa huku abiria na madereva wakilazimika kukatiza shughuli zao mara kwa mara. Sisi tunapitiana changamoto nyingi sana kama wamama. Especially mama kuwa mjamzito ama akiwa mgonjwa hatuwezi zaidika juu ya hii barabara. Na sisi tuko katikati ya serikali. Ukiangalia hii manyata yetu imezingirwa na maofisi na ma NGOs. Hatuko mbali na ofisi ya gavana. Tuko very near na ofisi ya gavana. But shida yetu haionekani. Tuko na shida wakati ya watoto wanasoma wapiti asubuhi na tuko na shida magari haipiti. Hiyo raga yangu mvua imesha na gari hawajawahi kupita. Huwa tunasurvive tangu dunia imeumbwa nafikiri hakuna daraja imewahi kuwekwawa hapa. Mahali imefika sasa hatuko ku complain kuhusiana na njia mbovu. Tuko complain about a road that now has become a danger to the life of the people of Nyayo Road area. Saa hii hakuna namna ya kupitia. Wamama, wagonjwa, wazee hakuna namna ya kupata msaada wakigonjeka hata mtu kama amekufa. Namna ya kutoa maiti kutoka nyumbani inakuwa ngumu.



