[0:01]Wakazi wa Malindi wamenufaika na matibabu ya bure kutoka kwa jamii ya Bohora mjini humo. Baadhi ya wakazi wa Sheila wamesema kambi hiyo ya matibabu imewasaidia pakubwa haswa watu wazima ambao wanaugua maradhi mbalimbali.
[0:13]Kwa mujibu wa daktari Adnan Mustafa anayeongoza kikosi cha matibabu, baadhi ya watu waliohudumiwa waligunduliwa kuwa na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa vipimo.
[0:37]Tushukuru sana kwa Bohora community kutuletea madaktari wa bure waweze kusaidia community ya Malindi maanake wagonjwa ni wengi na hawana pesa na wanatarajia sana rapcha kama hizi za kuweza kuwasaidia.
[0:53]Kwa hivyo sisi tumefaidika na tumefurahi maana tumepata matibabu na madawa Mwenyezi Mungu awabariki waje tena waje kututibu zaidi na zaidi.
[0:58]As a community we are there for the people and we always pray that his holiness remains and we are able to follow his teachings in on how to live with everybody in Malindi. Thank you.
[1:15]We are here under the leadership of his holiness Dr. as my colleague has mentioned Mr. that we are this is a multi-specialty camp. Doctors coming from Malindi, Mombasa, Nairobi, all the way from Eldoret and United States of America are here.
[1:34]The specialties include pediatrics, orthopedic surgery, oncology that is cancer treatment and general practitioners are here. We are offering blood sugar and BP check.
[1:47]We have identified quite a number of citizens who have been identified for the first time that they have diabetes and blood pressure.
[1:54]the cooperation of the community generally in Malindi and the coast on various issues there. like the moment we have a program reforestation, the Bora community.
[2:06]We have a program of health. We have seen there was a camp this morning. And we cooperate in many development issues also.



